Kikao Kazi cha
Maafisa Habari na Uhusiano Wa Serikali 2026

13-17 Aprili, Mjini Njombe, Tanzania

JISAJILI

Kuhusu Kikao Kazi

Ni Kikao Kazi kinachowakutanisha kila mwaka Maafisa Habari, Maafisa Uhusiano na Maafisa Mawasiliano wa Serikali katika Wizara, Idara, Taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali ili kutafakari na kufanya tathmin ya kazi zilizofanyika, kuimarishana kitaaluma na kiutendaji, na kuweka mipango ya namna ya kutekeleza majukumu ya Sekta ya Habari.

Karibuni Sana!

Wapi?

Mjini Njombe, Tanzania

Lini?

Jumatatu hadi Jumamosi
Tarehe 13-17 Aprili, 2026

Eneo la Tukio

Taarifa na baadhi ya picha kuhusu eneo la Kikao Kazi

Mjini Njombe, Tanzania

Ni mkoa unaopatikana nyanda za juu kusini mwa Tanzania

Wasiliana Nasi

Wasiliana nasi kupitia mratibu wetu

FRANK MVUNGI

AFISA HABARI MWANDAMIZI, IDARA YA HABARI (MAELEZO)