Kuhusu Kikao Kazi
Ni Kikao Kazi kinachowakutanisha kila mwaka Maafisa Habari, Maafisa Uhusiano na Maafisa Mawasiliano wa Serikali katika Wizara, Idara, Taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali ili kutafakari na kufanya tathmin ya kazi zilizofanyika, kuimarishana kitaaluma na kiutendaji, na kuweka mipango ya namna ya kutekeleza majukumu ya Sekta ya Habari.
Karibuni Sana!
Wapi?
Mjini Njombe, Tanzania
Lini?
Jumatatu hadi Jumamosi
Tarehe 13-17 Aprili, 2026
Eneo la Tukio
Taarifa na baadhi ya picha kuhusu eneo la Kikao Kazi
Mjini Njombe, Tanzania
Ni mkoa unaopatikana nyanda za juu kusini mwa Tanzania
Habari Picha
Tazama baadhi ya picha za Ufunguzin wa Kikao Kazi
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia mratibu wetu













